Tuesday 28th, January 2025
@MAHAHA -MAGU DC
Waziri wa kilimo na ushirika wa mh Hussein Bashe anatarajiwa kuwa mgeni ramsi kwenye sherehe ya uzinduzi wa msimu wa ununuzi wa zao la pamba utakaofanyika kitaifa katika kjiji cha mahaha wilayani magu siku ya tarhe 20/05/2022 ambapo zaidi ya mikoa mitano pamoja na makampuni yanayonunua zao hilo yatashiriki pia bei ya pamba kwa kilo itatangazwa rasmi
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa