Wednesday 13th, November 2024
@MAGU HOSPIATAL
Mkuu wa wilaya ya Magu mh Salum Kalli,mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya bi Fidelica Myovella leo tarehe 2/Desemba2022 wameongoza watumishi na wanachi wa wilaya ya Magu kushiriki uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania bara yaliyobeba kauli mbiu ya “miaka 61 ya uhuru”AMANI NA UMOJA NI NGUZO YA MAENDELEO YETU: kwa kupanda miti ya matunda,mbao na mapambo katika eneo la hospitali ya wilaya ambapo Zaidi ya miche 300 ya matunda na miche 700 aina nyingine imepandwa shughuli mbalimbali za maendeleo zitafanyika kwa muda wa siku saba kuelekea kilele cha maadhimisho hayo hapo desemba 9 ambapo patakuwepo na mdahalo wa maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 61 ya uhuru hususani katika wilaya ya magu
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa