Monday 30th, December 2024
@BUJORA
Rais wa jamahuri ya muungano wa Tanzania Mh SAMIA SULUHU HASSAN atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya utamaduni na mila za kisukuma katika kituo cha maonyesho na uhifadhi wa mila za kisukuma kilichopo eneo la bujora katika mji wa kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza siku ya tarehe 08/09/2021
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa