Saturday 21st, December 2024
@MAGU DC
Maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania bara yamehitimishwa mkoani Mwanza Kwa kufanya mdahalo kimkoa katika wilaya ya Magu akizunguza na wananchi waliohudhuria mdahalo huo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa mwanza katibu tawala wa mkoa huo NDG BALANDYA M ELIKANA alesema katika miaka 61 ya uhuru tanzania imepata maendeleo makubwa katika nyanza zote na kusisitiza kwamba haya yote yamechangiwa na kwa amani na umoja hivyo aliwasihi watanzania kuendelea kutunza amani na umoja
mdahalo hup uliendeshwa kwa njia ya maelezo na maswali toka kwa wananchi pamoja na wataalamu wabobezi katika nyanza mbalimbali
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa