Thursday 19th, September 2024
@MAPOKEZI MJI MDIGO WA KABILA NA MKESHA NI MAGU MJINI
Mkuu wa wilaya ya ilemela mh HASSAN MASALA kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya magu MH RACHEL S KASSANDA amepokea mwenge wa uhuru 2023 na kupitisha katika miradi 6 ambapo miradi minne imezinduliwa na miradi miwili imewekewa jwe la msingi miradi hiyo yote ina gharama ya ya zaid ya bilioni moja
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa