Saturday 21st, December 2024
@OFISI YA MKUU WA WILAYA
Mapokezi na makabidhiano ya mkuu mpya wa wilaya ya magu mh RACHEL S KASSANDA yalifanyika tarehe 4/2/2023 ambapo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya magu mh SALUM A KALLI amehamishiwa wilaya ya Kigoma katika makabidhiano hayo viongozi mbalimbali Wa chama na serikali walihudhuria
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa