Thursday 2nd, January 2025
@LUGEYE SECONDARY
Mkuu wa wilaya ya Magu mh SALUM KALLI akishirikiana na mkurugenzi mtendaji BI FIDELICA MYOVELLA Wanatarajia kumkabidhi mkuu wa mkoa wa Mwanza mhandisi ROBERT GABRIEL vyumba 123 vya madarasa vilivyojengwa kwa fedha za mradi no 5441 tcrp tarehe 03/01/2022 shughuli za makabidhiano zitafanyika katika shule ya sekondari LUGEYE kuanzia saa tatu asubuhi
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa