Thursday 5th, December 2024
@MAGU
Kikao cha kupitia mpango wa manunuzi na kukamilisha utarartibu wa mradi wa kikanda wa majaribio wa kuhimili mabadiliko ya tabia ya nchi katika kijiji cha ng'haya wilayani magu kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa idara ya maji ukiongozwa na eng ONESPHORY MAGANYA KAMKURU MRATIBU WA MRADI KITAIFA
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa