Mkuu wa wilaya ya magu mh SALLUM KALLI amemwakilisha mkuu wa mkoa wa mwanza mhandisi ROBERT GABRIEL katika uzinduzi wa msimu wa kilimo cha zao la pamba kimkoa katika kijiji cha salama bugatu kata ya ng'haya wilaya ya magu ambapo zaid ya wakulima 26370 wamejisajili kulima zao hilo na zaidi ya hekta 47280 zitalimwa na kutarajiwa kuvuna kilo 4923000 katika uzinduzi huo balozi wa zao la pamba nchini mh AGREY MWANRY pia alihudhuria
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa