Utaratibu Mpya wa Kushughulikia Fomu za Mikopo Kuanzia tarehe 18.04.2017
09 May 2017
Fomu zote zipokelewe na kuchukuliwa Masjala.
Fomu zote zitakapopokelewa Masjala lazima ziambatane na barua ya maombi ya Mkopo iliyoelekezwa kwa taasisi husika, barua hiyo ipitie kwa mkuu wa Idara na Mwajiri.
Fomu za Mkopo zitakuwa nakala mbili, moja itarejeshwa kwa taasisi ya mikopo na nyingine itabaki kwenye jalada la mtumishi kwa ajili ya urahisi wa rejea .
Fomu za Mkopo Ziambatane na “Deduction Sheet” i.e fomu ya Makato.