Halmashauri inazo jumla ya Shule 26 za sekondari ambapo shule za Serikali ni 20 na Shule za watu binafsi ni 6. Shule 2 zina kidato cha I hadi cha vi.
WALIMU
Halmashauri inao jumla ya walimu 615 wenye ajira rasmi za Serikali, kati yao 163 ni walimu wa Stashahada na 452 ni walimu wenye Shahada.
WANAFUNZI
Halmashauri ya Magu ina jumla ya wanafunzi wa sekondari 16,201 kwa mwaka 2018.
MIUNDOMBINU
Maabara 60
Viti 12356
Meza 12635
Madarasa-267
Hosteli-14
Matundu ya vyoo vya wanafunzi-341
Matundu ya vyoo vya walimu-42
Nyumba za walimu-55
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa