Posted on: July 5th, 2025
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Tax ametoa msaada wa mashine mbili za kudurufu mitihani kwa shule ya msingi Moha na shule ya sekondari Magu mjini zilizopo wilaya Magu mkoani...
Posted on: July 1st, 2025
ALIYEKUWA Katibu Tawala ya Wilaya ya Magu -DAS, Jubilate Win Lauwo leo Jumanne tarehe 1 Julai, 2025 amekabidhi ofisi kwa Zuberi Said Zuberi na kumuahidi ushirikiano wa kutosha katika nafasi yake hiyo ...
Posted on: June 21st, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka
Watanzania kushiriki kikamilifu kulinda maadili kwa ajili ya ustawi wa jamii kwa kuwa jukumu
hilo ni la Watanzania.
Rais Dkt. Samia ameyasema...