• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MAGU DISTRICT COUNCIL
MAGU DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Magu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Orodha ya viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu Wa Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo , umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Utumishi na utawala
      • Idara ya Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Fedha
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Tehama
      • Internal Audit Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
      • Bujora
    • Miundombinu ya Umwagiliaji
  • Huduma
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
      • Wajumbe wa Baraza la Madiwani
      • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya UKIMWI (CMAC)
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Bajeti
      • 2016/2017 Budget
    • TASAF
    • Mpango Mkakati
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • sheria
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari

WALIMU SAIDIENI WANAFUNZI KUTUMIA FURSA YA UFADHILI WA MASOMO WA 'SAMIA SCHOLARSHIP-

Posted on: March 26th, 2024


Walimu wa shule za sekondari Mkoani Mwanza wametakiwa kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha sita wanaopata ufaulu wa juu katika mitihani ya kidato cha sita inayoendeshwa na Baraza la Mitihani Tanzania ( NECTA) katika tahasusi za sayansi kupata fursa ya udadhili wa masomo unaotolewa na serikali kupitia programu ya 'Samia Scholarship' kwa lengo la kuongeza idadi ya wanasayansi nchini ambao watachangia moja kwa moja katika maendeleo.


Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Magu, Jubilate win Lawuo wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania Mkoa wa Mwanza ( TAHOSSA) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa CCM Wilaya ya Magu.

Akizungumza wakati wa mkutano huo DAS Lawuo amesema kumekua na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita kupata ufaulu wa juu na wana vigezo vya kupata fursa hiyo lakini hawana uelewa wa jinsi ya kuomba na kupata ufadhili wa masomo hivyo ni vyema walimu wakatumia uzoefu wao kuwasaidia wanafunzi.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mohamed Ramadhani amesema  kumekuwa na matumizi makubwa ya TEHAMA katika ujifunzaji na ufundishaji hivyo ni muhimu kwa walimu kuendana na mabadiliko hayo ili kuendana na malengo ya Serikali ya kutoka elimu bora na kwenda na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia zinazoendele duniani.

Amesema Matumizi yaTEHAMA ni muhimu kwa sasa, matumizi ya karatasi na kuandika vinapotea, hivyo ni muhimu kupata ujuzi na maarifa kuhusu matumizi sahihi ya vifaa vya TEHAMA katika ujifunzaji na ufundishaji .


Aidha amewataka Walimu wakuu wa shule za Sekondari Mkoa wa Mwanza  kusimamia walimu kujaza taarifa katika mfumo wa Mfumo wa Kupima Utendaji Kazi wa Watumishi wa Umma na Taasisi PEPMIS /PIPMIS na mifumo mingine inayotumiwa na watumishi na shuleni kwa lengo la  kuongeza ufanisi na uwajibikaji kwa watumishi wa Serikali hapa nchini.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA WALIOTEULIWA KATIKA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA II April 28, 2025
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU ENEO LA ILUNGU NA IGUDIJA TAREHE 02/12/2024 December 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA November 18, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA SHULE YA WASICHANA YA MKOA WA MWANZA MWANZA GIRLS SS 2023 December 16, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANANCHI NYASHIMBA WAISHUKURU HALMASHAURI MAGU UJENZI WA ZAHANATI, SHULE

    June 13, 2025
  • MAGU YATENGENEZA MADAWATI 1300 KWA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    June 12, 2025
  • MILIONI 250 ZA MFUKO WA JIMBO ZAACHA ALAMA MAGU

    June 09, 2025
  • WAKULIMA MAGU WAMPA TANO KISWAGA KUCHOCHEA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

    June 07, 2025
  • Angalia zote

Video

Serikali yatoa Matrekata 33 katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • Fomu ya Kusafiri nje ya Kituo cha kazi
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Fomu ya Opras
  • Fomu Mpya ya Maombi ya Likizo kwa watumishi
  • Fomu ya Quotation ya likizo
  • Taratibu za mikutano na uendeshaji shughuli za Halmashauri
  • Mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mwanza
  • Utaratibu wa kutoa Leseni ya Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Wakala ya Serikali Mtandao.
  • Wizara ya Afya
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya serikali
  • Ofisi ya Taifa ya takwimu Tanzania
  • tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa