Ujenzi wa vyumba 163 vya madarasa ya wanafunzi wanaotarajiwa kuwa 10823 watakaojiunga kidato cha kwanza katika wilaya ya Magu uligharimu Tshs 3.26 billion umekamika katika makabidhiano yaliyofanyika baina ya mkuu wa wilaya ya Magu mh SALUM A KALLI Kwa niaba ya wananchi wa Magu kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza mh ADAM K MALIMA kwa niaba ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DK SAMIA SULUHU HASANI
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa