Mkuu wa Wilaya ya Magu Mhe. Khadija Nyembo azindua kituo cha kusukuma maji Kisesa- Kanyama na kuweka jiwe la Msingi katika siku ya ufunguzi wa wiki ya Maji tarehe 16.03.2017