Mradi Mkubwa wa Maji Magu mjini umefikia hatua mbalimbali za utekelezaji, hadi sasa umegharimu bilioni 16 na umefikia 68%. unategemewa kukamilika Mei, 2019, hadi mradi kukamilika mabomba yatasambazwa km 65. tanki linalojengwa litakuwa na lita za ujazo milioni 2 ambapo kwenye chanzo kutakuwa na maabara ya kupima ubora wa maji na bomba litaingizwa ziwani urefu wa Mita 300.
Ujenzi wa Ofisi za Mamlaka ya Maji Umekamilika
Maendeleo ya ujenzi katika chazo cha Maji
Miundombinu mbalimbali Katika chanzo
Maendeleo ya ujenzi wa Tenki la Maji lenye ujazo wa lita milioni 2
Hatua mbalimbali za Miundombinu ya Mradi mkubwa wa Maji Magu Mjini
Usambazaji wa Mtandao wa Mabomba unaendelea katika mitaa mbalimbali ya mji wa Magu
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa