Katibu tawala wa wilaya ya magu ndg MENRUF NYONI katika picha ya pamoja na wafadhiri wa mradi wa maji safi na salama toka ujerumani mara baada ya kukamilisha mradi huo katika kisiwa cha ijinga kilichopo wilayani magu, lengo la mradi huo ni kupunguza tatizo la ugonjwa wa kichocho kisiwani humo
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa