Mkurugenzi Mtendaji (W), na Mkuu wa Wilaya ya Magu wamemuongoza mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe John V.K. Mongella katika kukagua miradi na shughuli za maendeleo wilayani Magu.
Akiwa katika ziara hiyo amezungumza na viongozi na wananchi ambapo amewapongeza katika juhudi wanazozifanya kwenye usimamizi wa miradi ya maendeleo na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa juhudi ili kujiletea maendeleo wao wenyewe pamoja na Serikali katika kujenga uchumi wa kati kufikia mwaka, 2025.
“Magu Kusema na Kutenda”
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa