Mkuu wa wilaya ya magu ndg salum kali awahimiza wakazi wa wilaya ya magu wanawake kujitokeza katika masuala ya ujasiliamali na kuahidi kuwapa mikopo wale wote waliojitokeza na kuonyesha shughuli zao katika sherehe ya siku ya wanawake duniani iloadhimi kiwilaya katika kata ya sukuma
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa