baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya magu linatarajiwa kukaa kwa ajli ya kupitia taarifa za miradi ya maendeleo kipindi cha robo ya tatu januari-machi 2023 kikao hicho kinatarajiwa kufanyika tarehe 03.05.2023
miradi mbalimbali imetekelezwa na mingine inaendelea kutekelezwa kutokana na mapato ya ndani (taarifa kamili itafuta baada ya kikao
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa