Kikao cha baraza la madiwani cha robo ya mwisho 2020-2021 halmashauri ya wilaya ya Magu champongeza mwenyekiti wa baraza Mheshimiwa Simon Mpandalume pamoja na Mkurungezi wa halmashauri hiyo Bi Fidelica G Myovella kwa kusimamia mapato na matumizi ya halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020-2021 pamoja na kutekeleza miradi ya maendeleo kikao hicho kilifanyika tar 14.09.2021 nakuhudhuliwa na katibu tawala mkoa , Mkuu wa wilaya ndugu Salum kalli pamoja na katibu wa chama cha mapinduzi CCM wa wilaya
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa