Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Magu BI FIDELICA GABRIEL MYOVELA akitoa ufafanuzi katika baraza la madiwani juu ya taarifa ya miradi ya maendeleo katika robo ya kwanza july-sept 2021-2022 Baraza hilo lilifanyika tarehe 03/11/2021 katika ukumbi wa CCM wilayani magu.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa