Thursday 19th, September 2024
@
Mwenge wa uhuru mkoani Mwanza unatarajiwa kupokelewa kimkoa katika halamshauri ya wilaya ya Magu ukitokea halmashauri ya wialaya bariadi mkoani simiyu
katika waya ya magu unatarjiwa kuzindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na hatimaye mkesha utafanyika katika mji mdogo wa kisesa usiku wa tarehe 03/7/2021
Mwenge wa uhuru utakabidhiwa katika wilaya ya Ilemela mkoa wa mwanza katika shule ya msingi Kayenze tarehe 04/7/2021 saa tatu na nusu asubuhi
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa