Wafanyakazi wote pamoja na wananchi Mnatakiwa Kushiriki katika Mazoezi ya viungo yanayofanyika kila
jumamosi ya pili ya mwezi katika viwanja vya Mwanankanda kuazia saa 06:00 asubuhi hadi saa 3:00 asubuhi
Fika bila kukosa
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa