Kamati ya Elimu, Afya na Maji ni miongoni mwa kamati za kudumu za Halmashauri. Kamati hii inaundwa na wajumbe 18. Majukumu ya kamati hii ni kusimamia shughuli zote zinazohusiana na huduma za jamii katika upande wa elimu, afya pamoja na maji. Orodha ya wajumbe wa kamati hii ni kama ifuatavyo;- |
|||
NA |
JINA |
KATA |
WADHIFA |
1 |
Mhe. Lucas Deleli
|
Bujashi
|
Mwenyekiti
|
2 |
Mhe. Hilali N. Elisha
|
Nyanguge
|
Mjumbe
|
3 |
Mhe. Destery B. Kiswaga
|
Mbunge Jimbo la Magu
|
Mjumbe
|
4 |
Mhe. Maria N. Kangoye
|
Mbunge Viti Maalum
|
Mjumbe
|
5 |
Mhe. Nzilanyingi John
|
Mwamanga
|
Mjumbe
|
6 |
Mhe. Peter M. Deogratius
|
Jinjimili
|
Mjumbe
|
7 |
Mhe. Velina Ndallo
|
Isandula
|
Mjumbe
|
8 |
Mhe. Hilda A. Komanya
|
Viti Maalum Kisesa
|
Mjumbe
|
9 |
Mhe. Mary Kaligi
|
Viti maalum K/sima
|
Mjumbe
|
10 |
Mhe. Stella Maya
|
Viti Maalum Isandula
|
Mjumbe
|
11 |
Mhe. Tabu Mayeka
|
Viti Maalum Ng’haya
|
Mjumbe
|
12 |
Mhe. Machibula Deus
|
Kahangara
|
Mjumbe
|
13 |
Mh. Herbert Faustine
|
Kongolo
|
Mjumbe
|
14 |
Mhe. Gerald Paul
|
Ng’haya
|
Mjumbe
|
15 |
Mhe. Lucas Z. Mchele
|
Lubugu
|
Mjumbe
|
16 |
Mhe. Sambo M. Lupondije
|
Itumbili
|
Mjumbe
|
17 |
Mhe. John M. Mitubo
|
Chabula
|
Mjumbe
|
18 |
Mhe. John Bunyanya
|
Bujora
|
Mjumbe
|
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa